August 21, 2019


Straika wa zamani wa timu ya Simba, Laudit Mavugo, ametwaa tuzo ya ufungaji bora nchini Zambia.

Mavugo ambaye anakipiga na Napsa Stars hivi sasa ya nchini humo, ameisaidia timu hiyo kupata jumla ya mabao 10.

Straka huyo aliyekuwa hana bahati alipojiunga na Simba misimu kadhaa iliypita, amekuwa mchezaji tegemeo kunako timu yake.


2 COMMENTS:

  1. ndo unagundua kabsa mikia f.c hawajui kuwatumia wachezaj hata haruna tuliona alvokashuka kiwango.

    ReplyDelete
  2. Nyie vyura mmeshindwa nini kumsajili huyo Mavugo na kumrejesha Haruna matopeni ?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic