August 22, 2019



PATRICK Sibomana, mshambuliaji wa Yanga ambaye alifunga bao pekee la kusawazisha mbele ya Township Rollers uwanja wa Taifa, amesema kuwa wanapindua meza nchini Botswana.

Yanga kwa sasa ipo nchini Botswana kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo wao wa marudio utakaopigwa Agosti 24 nchini Botswana na mchezo wa kwanza walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 wana kazi ya kutafuta ushindi.

“Mpira una matokeo mengi hivyo kushindwa kupata ushindi nyumbani inaumiza lakini bado tuna nafasi ya kushinda kwao na hicho ndicho tunachohitaji kukifanya," amesema

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic