February 21, 2020

JONAS Mkude, kiungo ndani ya Simba amesema kuwa akili zao kwa sasa ni kuona namna gani wanaweza kutetea taji lao la ubingwa walilotwaa msimu uliopita 2018/2019.

Simba inaongoza ligi ikiwa na pointi 59 kibindoni ikiwa imecheza mechi 23 kesho itamenyana na Biashara United kwenye mchezo wa ligi utakaochezwa Uwanja wa Taifa.

"Mpango mkubwa ni kuona namna gani tunaweza kutetea ubingwa wetu ambao tuliutwaa msimu uliopita, mashabiki watupe sapoti," amesema.

Mkude ametupia mabao mawili na mguuni ana pasi mbili za mabao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic