February 21, 2020



JANUARI, 26 Uwanja wa Taifa mbele ya Namungo wakati Simba ikishinda mabao 3-2 Meddie Kagere alifunga bao lake la 12 kwa guu la kulia akimalizia pasi ya Sharaf Shiboub.

Kagere alicheza mechi tano ambazo ni sawa na dakika 450 bila kufunga ilikuwa mbele ya Coastal Union, Februari Mosi, Simba ilishinda mabao 2-0,  Polisi Tanzania Februari 4, Simba ilishinda mabao 2-1,Februari 7 mbele ya JKT Tanzania Simba ilichapwa bao 1-0.

Februari 11 mbele ya Mtibwa Sugar,Simba ilishinda mabao 3-0 alitoa pasi moja kwa Bocco John, Februari 15 Simba ilishinda bao 1-0 mbele ya Lipuli.

Aliibuka tena Februari 18, Taifa wakati Simba ikishinda bao 1-0 mbele ya Kagera Sugar kwa kufunga bao lake la 13 kwa penalti kwenye mechi yake ya sita ambayo ni sawa na dakika 540.



1 COMMENTS:

  1. Kagere anaitaji apumzike kidogo anachoka Sana mpaka Hana concentration katika kufunga aanzishwe mbele dilunga na bocco

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic