February 21, 2020


ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kikubwa kinachohitajika kwenye mashindano ni maandalizi mazuri.

Stars inashiriki michuano ya CHAN ikiwa kund D lenye timu nyingine ambazo ni Guinea, Zambia na Namibia yatafanyika mwezi Aprili nchini Cameroon.

"Maandalizi mazuri yanahitajika kwa ajili ya ushindi kwenye mashindano yetu nina amini kwamba kila kitu kitakuwa sawa na tupo tayari kwa ajili ya ushindani," amesema.

Michuano ya CHAN inahusisha Wachezaji wanaocheza katika vilabu vya ndani kwa Afrika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic