February 21, 2020


KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila  amesema kuwa kuna umuhimu wa sehemu za kuchezea kuboreshwa ili timu zicheze kwa kujiamini zikiwa ndani ya uwanja.

Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 14 ikiwa imecheza mechi 23 kibindoni ina pointi 24 mchezo wake uliopita ililazimsha sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

"Kuna umuhimu wa kufanya maboresho kwenye sehemu za kuchezea ili wachezaji wawe huru kwenye kutafuta matokeo ndani ya uwanja.

"Mechi zetu nyingi tunakwama kushinda kutokana na ubovu wa sehemu za kuchezea jambo ambalo linatugharimu," amesema.

1 COMMENTS:

  1. Anavyoongea hivyo utasema manungu na jamuhuri ni kama Emirates stadium....
    Mxiuuuuuuuu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic