February 21, 2020


LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake watapambana kupata matokeo kwenye mechi zake zinazofuata kutokana na kugundua makosa waliyoyafanya.

Yanga ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa imecheza mechi 21 na ina pointi 40, mechi yake inayofuata ni dhidi ya Coastal Union ya Tanga utakaochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Februari 23.

"Tumekuwa na matokeo ambayo hayafurahishi ila sio mwisho wa kupambana tutafanya vizuri kwenye mechi zetu zinazofuata.

"Mashabiki watupe sapoti na kuungana nasi katika kutafuta ushindi, wachezaji wangu nimewapa majukumu yao watakuwa katika ubora," amesema.

2 COMMENTS:

  1. Sapoti ya mashabiki peke yake kuleta Mafanikio haitoshi ikiwa wachezaji wenyewe Hawana iuwezo

    ReplyDelete
  2. simba sports chombo kwa hewa, gari lao liliwaka kumbe hamna mafuta

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic