February 21, 2020


YANGA kwenye mechi zake sita hivi karibuni ambazo ni sawa na dakika 540 kwenye Ligi kuu Bara imeshinda mechi tatu na kulazimisha sare tatu.

Ndani ya dakika 540 imezigawa dakika 270 kwa kuvuna pointi tisa na zilizobaki mfululizo ikavuna pointi tatu.

Yanga kwenye mechi zake sita imekusanya jumla ya pointi 12 na kuzipeperusha pointi sita kati ya pointi 18 ilizokuwa inazitafuta.

Imefunga jumla ya mabao tisa na imefungwa mabao manne . Matokeo yao yalikuwa namna hii:-Singida 1-3 Yanga, Yanga 1-0 Mtibwa Sugar, Yanga 2-1 Lipuli, Ruvu Shooting 0-1 Yanga, Yanga 1-1 Mbeya City, Yanga 0-0 Prisons, Polisi Tanzania 1-1 Yanga.

Februari 23 itakuwa Uwanja wa Mkwakwani kumenyana na Coastal Union ya Tanga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic