MAN CITY WASHUSHA MSHAMBULIAJI TISHIO
Nyota wa kimataifa wa Misri Omar Marmoush ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Manchester City kwenye…
Katika mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI alionesha namna ambavyo kampuni hiyo imeweza kua na mafanikio makubwa kwa mwaka 2024 na kujiweka kwenye mazingira mazuri Zaidi ya kupandisha thamani kwa mwaka 2025. https://x.com/meridianbet_ofc/status/1882035687014191504 Tukio hilo la hali ya juu, linalojulikana pia kama…
AMEWAVURUGA vigogo waliopo ndani ya tatu bora Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic huku timu hiyo ikiandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza ambayo ilipata ushindi mkubwa bila kuruhusu kufungwa na ni mabao 16 Yanga ilifunga kwenye mechi nne na ilifungwa mabao mawili dhidi ya Mashujaa.
Siku ya leo ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Manchester United baada ya kupigika kwenye ligi mchezo wao uliopita, na sasa nguvu watawekeza kwenye Europa na hii leo watakuwa Old Trafford kukipiga dhidi…
Nyota wa kimataifa wa Misri Omar Marmoush ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Manchester City kwenye msimu wa 24/25. Omar Marmoush amesaini mkataba wa miaka minne wa kujiunga na Manchester City akitokea Eintracht Frankfurt ya nchini Ujerumani. Wachezaji wapya wa Manchester City ni Victor Reis, Abdukodir Khusanov na Omar Marmoush.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Said Mohamed ametangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2024 na kueleza kuwa ufaulu umepanda. Dkt. Said ameeleza zaidi kuwa ufaulu umepanda kwa 3% hadi kufikia 92.3% kwa jumla ambapo watahiniwa 477, 262 wamefaulu kidato cha nne kati ya wahitimu 516, 695. MATOKEO YA…
TAARIFA rasmi kutoka Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika. Wakati ikiwa ni namba nne kwa ubora barani Afrika imekuwa ya 57 duniani kwa mwaka 2024 hii ikiwa inamaanisha kwamba ushindani unazidi kukua…
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024. Ligi hiyo imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya sita mwaka 2023 ikizipiku Ligi za Afrika Kusini na Tunisia…
Real Madrid, Arsenal na PSG zimeshusha vipigo vizito huku Bayern Munich na Manchester City zikipigika kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. FT: Arsenal 3-0 D. Zagreb 2’ Rice 66’ Havertz Odegaard 90+2’ FT: PSG 4-2 Man City 56’ Dembele 61’ Barcola 78’ Neves 90+4’ Ramos…
NDANI ya kikosi cha Simba mtambo wa kutengeneza mabao ni Jean Ahoua ambaye haeleweki kutokana na kiwango chake kuwa cha kupwa na kujaa lakini ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ipo wazi kwamba Simba kwenye ligi ni namba moja katika msimamo ikiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 15 ni namba…
CLEMENT Mzize, mchezaji bora Desemba amewakimbiza wachezaji wenye rekodi kutokana na kusepa na tuzo hiyo mbele ya mastaa wenye rekodi zao ndani ya NBC. Kwenye mechi nne ambazo alicheza, Mzize alifunga mabao manne na kutoa pasi tatu za mabao akikomba dakika 288 na Yanga ilikuwa nafasi ya tatu ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na…
Congo Brazzaville imeondolewa kushiriki michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) inayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu. Michuano hiyo itafanyikia nchini Kenya, Uganda na Tanzania katika tarehe ambazo bado hazijawekwa wazi. Congo Brazaville waliokuwa Kundi D pamoja na Nigeria, Sudan na Senegal wnafasi yao imechukuliwa na Equatorial Guinea. Kutolewa kwao kunafuatia madai kwamba walimchezesha mchezaji…
Sehemu ni moja tu leo ambayo inaweza kukuhakikishia unachukua kibunda chako cha kutosha na sio sehemu nyingine bali ni pale Meridianbet kupitia michuano ya ligi ya mabingwa ulaya ambapo itachezwa michezo kadhaa yenye Odds kubwa kabisa. Klabu ya PSG leo itashuka dimbani kumenyana na vijana wa Pep Guardiola Manchester City ambao hawapo kwenye ubora mkubwa…
Je unajua kuwa ukiwa na mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet, unaweza ukaibuka bingwa siku ya leo?. Mechi za UEFA zinaendelea leo huku kila timu ikihitaji ushindi kujiweka nafasi nzuri. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa. Slovan Bratislava watamleta kwao VFB Stuttgart ya kule Ujerumani na mpaka sasa wana pointi saba kwenye msimamo, huku mwenyeji yeye…
Mkutano huo utakaohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 50 utafanyikia katika hoteli ya Imperial Plaza mjini Juba. Auka John Gecheo, Mkurugenzi Mtendaji wa CECAFA alithibitisha kuwa Rais wa WAFU A, Bajo Lamin Kaba, Rais UNIFAC, Maolas Jean Guy Blaise na makamu wa Rais wa WAFU B Gasua Ibrahim Musa watakuwa miongoni mwa wageni katika mkutano huo….
Droo ya kupanga makundi ya mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) inatarajiwa kufanyika Januari 27, 2025, jijini Rabat, Morocco. Hafla hiyo itawakutanisha wawakilishi wa timu 24 zilizofuzu, zikiwemo zile kutoka Afrika Mashariki kama Tanzania. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 ambapo waandaaji wa mashindano hayo ni Morocco.
Sub: Sloti ya Sweet Bonanza 1000 imekua moja ya sloti ambazo zinatoa mkwanja wa kutosha hivi sasa, Sloti hii pia inatoa bonasi za kutosha kama mizunguko ya bure. Meridianbet kasino ya mtandaoni sasa inakuletea mchezo mpya wa sloti ambao utakushangaza. Katika mchezo wa Sweet Bonanza 1000, unaweza kushinda mara 25,000 zaidi ya dau lako ulilocheza….
Mechi kali leo hii zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Tukianza na Uturuki SUPER LIG kuna mtanange wa kukata na shoka leo ambapo Trabzonspor watakiwasha dhidi ya Sivasspor ambao wapo nafasi ya 15 huku mwenyeji…