NI KIVUMBI KWA MKAPA, SIMBA KUKIWASHA DHIDI YA CS CONSTANTINE
Michuano ya kombe la Shirikisho Afrika inaendelea kutimua vumbi leo Januari 19, 2024 huku wawakilishi…
Droo ya kupanga makundi ya mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) inatarajiwa kufanyika Januari 27, 2025, jijini Rabat, Morocco. Hafla hiyo itawakutanisha wawakilishi wa timu 24 zilizofuzu, zikiwemo zile kutoka Afrika Mashariki kama Tanzania. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 ambapo waandaaji wa mashindano hayo ni Morocco.
Mechi kali leo hii zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Tukianza na Uturuki SUPER LIG kuna mtanange wa kukata na shoka leo ambapo Trabzonspor watakiwasha dhidi ya Sivasspor ambao wapo nafasi ya 15 huku mwenyeji…
Je unajua kuwa Meridianbet wanatoa timu za ushindi siku ya leo?. Basi kama bado hujajua unaweza ukaingia kwenye akaunti yako na kuanza kusaka maokoto kupitia timu hizo. Tukianza na ligi kuu ya Italia leo hii SERIE A kutawaka moto ambapo Parma atamenyana dhidi ya Venezia ambapo uhitaji wa alama 3 ni muhimu kwa wote wawili….
Michuano ya kombe la Shirikisho Afrika inaendelea kutimua vumbi leo Januari 19, 2024 huku wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya CAF, Simba Sc wakiwa kibaruani kwenye mchezo wa raundi ya mwisho wa Kundi A dhidi ya vigogo wa Algeria, CS Constantine katika dimba la Benjamin Mkapa. Simba Sc waliopo nafasi ya pili pointi 10…
Wild Corrida ni mchezo wa kasino unaonesha onyesho utamaduni wa mapigano ya ng’ombe na ni maarufu sana nchini Hispania na Ureno. Jisajili Meridianbet upate bonasi ya ukaribisho ya 300% Mchezo huu wa kasino ya Mtandaoni ulioandaliwa na mtengenezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Mchezo huu wa kasino umejaa bonasi za Kasino, hivyo hakuna…
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya MC Alger umegota mwisho huku mpango kazi wa Gusa achia twende robo fainali kwa Yanga ukikwama kwa wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa katika anga la kimataifa. Yanga katika mchezo wa leo ilikuwa inahitajika kupata ushindi baada ya dakika 90 ubao Yanga 0-0…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa una kazi kubwa kupambana kimataifa kumaliza nafasi ya kwanza huku wakiwa na kazi yakucheza mchezo huo Uwanja wa Mkapa bila ya uwepo wa mashabiki. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanatambua kwamba mchezo wao ni mgumu na watafanya kazi kubwa kwenye mchezo huo…
Jumamosi ya kibabe imefika ambapo zaidi ya mamilioni kutolewa leo na Meridianbet. Unajua unawezaje kupata hizo pesa?. Suka jamvi lako la uhakika na chagua timu zako za ushindi hapa. Ligi kuu ya Ujerumani BUNDESLIGA kuna mechi za pesa Bayern Munich atakuwa mwenyeji wa VFL Wolfsburg ambao wanashika nafasi ya 7 wakati vijana wa Kompany wao…
Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Kule Uingereza CHAMPIONSHIP itaendelea kwa mchezo mmoja Burnley FC atamenyana dhidi ya Sunderland AFC ambapo hawa wote wametoka kushinda mechi zao zilizopita hivyo mechi hii ni…
BEKI wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Yanga, Israel Mwenda ruksa kuwavaa wapinzani wa timu hiyo MC Alger, Januari 18 2025 mchezo wa hatua ya makundi. Ni mashine mbili za kazi zimetambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye dirisha dogo ambapo katika hao mmoja mambo fresh kimataifa na mwingine amekwama kuwa sehemu ya…
Siku za mkwanja wa milioni moja kutoka kupitia shindano la Expanse Kasino zinahesabika, Kwani shindano la Expanse limebakiza siku tatu mshindi wa kitita cha milioni apatikane. Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la mabingwa…
Kupitia Shindano la Expanse linaloendelea ambalo linahuisha michezo ya kasino linatoa fursa ya kushinda kiasi cha shilingi milioni moja taslimu kwa kucheza michezo ya kasino,Limebakiza siku nne pekee mshindi apatikane shiriki sasa uweze kuibuka na mkwanja wako. Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi…
Klabu ya Yanga Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa Winga Jonathan Ikangalombo raia wa Congo DR Ikangalombo amejiunga na Yanga akitokea As Vita na anamudu kucheza Winga na Mshambuliaji wa kati.
“Mchezaji wetu Kouassi Attohoula Yao hatakuwa sehemu ya kikosi baada ya kufanyiwa upasuaji. Yao atakuwa nje kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita. Maxi Nzengeli anaendelea vizuri na maozezi, kama mwalimu ataona utimamu wake wa kimwili unafaa kucheza mchezo ujao basi atamtumia lakini kimsingi kwa sasa yupo salama” Ally Kamwe
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe amefunguka na kueleza kuwa walitegemea wapinzani wao MC Alger walitarajiwa kufika asubuhi ila hawajafika. “Hakuna kiumbe hai yeyote anayetudai Yanga tumelipa madeni wachezaji na makocha wanaotudai, tumefunguliwa kusajili” Ali Kamwe. “Taarifa ambazo tunazo ni kuwa wapinzani wetu walipaswa kuingia nchini alfajiri ya kuamkia leo, lakini mpaka…
Siku ya kunyakua mamilioni leo kupitia michezo mbalimbali ambayo itapigwa katika ligi kuu mbalimbali duniani ikiwemo Uingereza, Italia, pamoja na Ujerumani, Meridianbet wao kuhakikisha unapiga kitita wameweka Odds bomba kwenye michezo hiyo kazi imebaki kwako. Pale ligi kuu ya Uingereza itapigwa michezo kadhaa, ligi kuu ya Ujerumani halikadhalika itapigwa michezo kadhaa, bila kusahau ligi kuu…
FADLU Davids, mpanga ramani wa kikosi cha Simba ambaye ni Kocha Mkuu amesema kuwa baada ya kufanikisha malengo ya kutinga hatua ya robo fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, sasa hesabu ni kuona wanashinda mchezo ujao Uwanja wa Mkapa. Simba imefikisha pointi 10 kwenye kundi A baada ya kucheza mechi 5 mchezo wake uliopita ilipata…