BAADA ya kutambulishwa kuwa miongoni mwa Wanachama wa Yanga,leo Agosti 24 Haji Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa yeye ni Yanga na anaipenda timu hiyo huku akiahidi kufanya kazi zaidi ya punda mwenye njaa.
Kuelekea kwenye Wiki ya Mwananchi amesema kuwa atakachokifanya hakijawahi kutokea.
Manara Kuondoka Simba sio tatizo binafsi naona uamuzi wake wa kwenda Yanga ni manufaa Zaidi kwa mpira wetu ila jinsi Manara alivyoondoka ndani ya Simba hakukuwa sahihi hata kidogo was very unprofessional and was supposed to be forceful condemned. na ilipaswa kukemewa kwa nguvu zote kuliko kama watu walivyo lichukulia poa.Kuna baadhi ya watu wanasema aa Simba walikaa kimya pale Manara alipo wakashifu watu wengine ila nani anajua kuwa simba katika vikao vyao vya ndani walikuwa wakimkanya Manara. Mwalimu Nyerere alishawahi kusema mtu akila nyama ya mtu asipotubu basi haitachukua muda kabla ya kumla mtu mwengine so let's wait and see.
hapa Tanzania Eyimaeli Kocha wa Yanga alishasema mbumbumbu ni nani na wanafanana na wanyama fulani fulani. Yanga akili yao imeishia kwenye kutazama ni kiongozi gani Simba hasikilizani na uongozi Simba ndiyo wanamfuata wanampa ofa! sasa kama wanadhani kuchukua viongozi waliokuwa Simba watawasaidia, pole sana hiyo ni strategy ambayo haitaifikisha timu mbali.Ila kwa mbumbumbu akili yake imefikia ukomo huo.alipoondoka Senzo, ni mechi ngapi Simba walipoteza ...moja au mbili na sare hivyo pole.
Mimi nawashangaa. Hili tukio la Manara kutambulishwa Yanga rasmi ni pigo kwetu sisi Yanga. Manara alifanya kazi nzuri sana sana kuihujumu Simba wakati yumo ndani ya Simba. Sasa kilio ni nani atabeba mikoba ya Manara? Yanga tusifurahie. Kuna hstari ya kupigwa goli nyingi sana na Simba kuanzia ngao ya jamii. Nakupeni ukweli mpira wetu yanga ni mambo matatu. Hujuma. Marefa. Na. Uchawi
Wakati mwingine ni kichefuchefu kumsikiliza mtu anaongea maneno bila kukumbuka jana alisemaje.
ReplyDeleteManara Kuondoka Simba sio tatizo binafsi naona uamuzi wake wa kwenda Yanga ni manufaa Zaidi kwa mpira wetu ila jinsi Manara alivyoondoka ndani ya Simba hakukuwa sahihi hata kidogo was very unprofessional and was supposed to be forceful condemned. na ilipaswa kukemewa kwa nguvu zote kuliko kama watu walivyo lichukulia poa.Kuna baadhi ya watu wanasema aa Simba walikaa kimya pale Manara alipo wakashifu watu wengine ila nani anajua kuwa simba katika vikao vyao vya ndani walikuwa wakimkanya Manara. Mwalimu Nyerere alishawahi kusema mtu akila nyama ya mtu asipotubu basi haitachukua muda kabla ya kumla mtu mwengine so let's wait and see.
DeleteAfadhali amejiita yeye mwenyewe "Punda" kwa hiyo atakapokuwa anaitwa punda asihamaki tena "Punda kihongwe"
ReplyDeleteAtakuwa mbeba mikoba ya mzee mpili
ReplyDeleteAkapimwe akili, kweli njaa Mwana haramu
ReplyDeleteutopolo mtupu! wenzenu Simba wakiwaibia mtu ni mchezaji kama Morrison..Kuna ambacho Senzo amesaidia..labda Manara atasaidia Yanga kuchukua vikombe...Hata Senzo alisema hivyo!
ReplyDeleteKweli mbumbumbu mpo wengi,unadhani Timu inaanzishwa na Wachezaji ????
ReplyDeletehapa Tanzania Eyimaeli Kocha wa Yanga alishasema mbumbumbu ni nani na wanafanana na wanyama fulani fulani. Yanga akili yao imeishia kwenye kutazama ni kiongozi gani Simba hasikilizani na uongozi Simba ndiyo wanamfuata wanampa ofa! sasa kama wanadhani kuchukua viongozi waliokuwa Simba watawasaidia, pole sana hiyo ni strategy ambayo haitaifikisha timu mbali.Ila kwa mbumbumbu akili yake imefikia ukomo huo.alipoondoka Senzo, ni mechi ngapi Simba walipoteza ...moja au mbili na sare hivyo pole.
DeleteMimi nawashangaa. Hili tukio la Manara kutambulishwa Yanga rasmi ni pigo kwetu sisi Yanga. Manara alifanya kazi nzuri sana sana kuihujumu Simba wakati yumo ndani ya Simba. Sasa kilio ni nani atabeba mikoba ya Manara? Yanga tusifurahie. Kuna hstari ya kupigwa goli nyingi sana na Simba kuanzia ngao ya jamii. Nakupeni ukweli mpira wetu yanga ni mambo matatu. Hujuma. Marefa. Na. Uchawi
ReplyDeleteMbona mnabwabwaja Sana ngoja tuone wenyewe jaman tuombe pumzi na uzima
DeleteHaaa haaa,,, ht cc tuljua anaipenda yanga! Ndo maana tukamzengua ili asepe huko anakopapenda
ReplyDelete