tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post1686421384167878473..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: KUNA TATIZO, RUSHWA SASA GUMZO KULIKO NGOMA, MABAO YA TAMBWE!Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-70444587794098136872016-05-06T23:14:45.083+03:002016-05-06T23:14:45.083+03:00Huyu hana jipya mbna kila SKU watu wanampondea aba...Huyu hana jipya mbna kila SKU watu wanampondea abadilike tu saleh jembe jipu kila kitu kikimuuma anakutaftia sababu huu unazi kwa waandishi sio mzur tumien kalamu yenu vizur msiwe chachu ya uchochez kwa uandishi wa ushabikiBedahttps://www.blogger.com/profile/11348733856083984023noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-81992292332489964532016-05-06T13:26:05.686+03:002016-05-06T13:26:05.686+03:00Huyu mwandishi nimeanza kustukia makala zake. Uong...Huyu mwandishi nimeanza kustukia makala zake. Uongo mwingi sana. Nilifuatilia sana alivyomshupalia Rage kuwa kala hela za uhamisho wa Okwi. Baadaye tumeona yalikuwa maneno ya vijiweni au alikuwa anatumiwa na maadui wa Rage pole Simba. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-75716899493205007292016-05-06T12:04:32.644+03:002016-05-06T12:04:32.644+03:00Rushwa ipo hata kwa washika kalamu(waandishi wa ha...Rushwa ipo hata kwa washika kalamu(waandishi wa habari) ndio maana utaona habari za kuchafuana zinatawala sana kuliko za kuendeleza kabumbu.Inawezekana hata huyu aliyeleta mada hii naye ni muhathirika wa rushwa kwa aina moja au nyingine kwani tukumbuke jinsi alivyokuwa akimpigania AVEVA kuingia madarakani huku akimwandika vibaya Wambura.Sisi tusubiri kushangilia wenzetu wa Ulaya tuu hapa michosho kwa laki mbilimbili!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-38109748061792048492016-05-06T11:52:16.007+03:002016-05-06T11:52:16.007+03:00Kwa nini usifanye investigative journalism unaishi...Kwa nini usifanye investigative journalism unaishia kubwabwaja kama mtu wa mtaani? Kunaweza kuwa na tatizo mahali na wala halijaanza leo katika soka la Tanzania. Jitoe kimasomaso fanya utafiti kisiri uje na vitu vya uhakika. Hakika jamii ya wapenda soka itashukuru.<br />Haisaidii kuandika kama watu wa viweniAnonymousnoreply@blogger.com