tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post1705383371882121356..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: BAO NNE ZA YANGA ZILITENGENEZWA NDANI YA YANGA NA YANGA WENYEWESalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-21328260265883619192017-01-10T16:20:33.325+03:002017-01-10T16:20:33.325+03:00Muandishi anaipenda sana Yanga, anajaribu kuelezea...Muandishi anaipenda sana Yanga, anajaribu kuelezea kuwa ni Timu nzuri na haikustahili kufungwa.this.mrishohttps://www.blogger.com/profile/12047208366382237471noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-27771448930235071172017-01-10T16:18:06.085+03:002017-01-10T16:18:06.085+03:00"kwani hata ilipofungwa na Stand United na Mb..."kwani hata ilipofungwa na Stand United na Mbeya City, bado ilikuwa bora kwa maana ya umiliki wa mpira, mashuti mengi langoni hata iliyokosa na mashambulizi mengi"<br />Hapa umesahau ilipocheza na Azam takwimu zilikuwa Azam 52% Yanga 48%. Hata 01 Oct na Simba walizidiwa Takwimu.this.mrishohttps://www.blogger.com/profile/12047208366382237471noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-36749881715099929452017-01-10T11:28:57.700+03:002017-01-10T11:28:57.700+03:00Mi nafikiri ni mtazamo tu ila mpira una falsafa ya...Mi nafikiri ni mtazamo tu ila mpira una falsafa yake huwezi sema mazoez magumu wakat ukiwa uwanjani unaokana dk tisini haupo fiti sema wachezaji wakibongo hawajielewi na kujua mpira ni ajira tosha usipojishughulisha utashughulishwa .Tuache kupeana moyo maendeleo huja kwa mipango.Issa Abdallahttps://www.blogger.com/profile/06424641997204746073noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-88119549116286858212017-01-10T00:13:35.818+03:002017-01-10T00:13:35.818+03:00Huyu jamaa tathmini zake ni kigeugeu kama kinyonga...Huyu jamaa tathmini zake ni kigeugeu kama kinyonga. Azam waliwabana yanga ndo mana wakawafunga.. Yanga ikifungwa huwa hamkubali sijui kwanini... Mtatoa sababu nyiiingi, angalia hata issue ya mishahara umeileta hapa, mlipowafunga jamhuri na sijui nani huko mishahara na mazoezi magumu havikuwepo, leo 4G ya azam mnaweweseka. Waheshimu Azam kaka. Moudyhttps://www.blogger.com/profile/08648902036277542793noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-30504103193379742322017-01-10T00:12:01.582+03:002017-01-10T00:12:01.582+03:00Huyu jamaa tathmini zake ni kigeugeu kama kinyonga...Huyu jamaa tathmini zake ni kigeugeu kama kinyonga. Azam waliwabana yanga ndo mana wakawafunga.. Yanga ikifungwa huwa hamkubali sijui kwanini... Mtatoa sababu nyiiingi, angalia hata issue ya mishahara umeileta hapa, mlipowafunga jamhuri na sijui nani huko mishahara na mazoezi magumu havikuwepo, leo 4G ya azam mnaweweseka. Waheshimu Azam kaka. Moudyhttps://www.blogger.com/profile/08648902036277542793noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-21000011542374046252017-01-09T14:22:07.716+03:002017-01-09T14:22:07.716+03:00kwani yanga kufungwa lazima mtoe povu lote hilo, y...kwani yanga kufungwa lazima mtoe povu lote hilo, yanga ni timu kama zilivyo Jamhuri na timu zingine, mbona wanfungika tu<br />Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/06001676560469906625noreply@blogger.com