tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post1994943554902701262..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: KIUNGO YANGA ASAINI SIMBA KWA MIL.30Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-83771858488112617282018-06-27T19:38:34.946+03:002018-06-27T19:38:34.946+03:00Kwani MO ni kiungo wa yanga, acheni kudanganya was...Kwani MO ni kiungo wa yanga, acheni kudanganya wasomaji wenuAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/09687532717724443785noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-75759058737200818942018-06-24T11:56:17.586+03:002018-06-24T11:56:17.586+03:00saleh mnajisahau,wanunuzi wa magazeti yenu ni watu...saleh mnajisahau,wanunuzi wa magazeti yenu ni watu wenye weledi,kwa mfumo huu.mmeharibu biasha yenu.Geofrey Mwamnyanyihttps://www.blogger.com/profile/05534982523861833839noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-39317058880116712142018-06-24T11:53:48.155+03:002018-06-24T11:53:48.155+03:00saleh mnajisahau,wanunuzi wa magazeti yenu ni watu...saleh mnajisahau,wanunuzi wa magazeti yenu ni watu wenye weledi,kwa mfumo huu.mmeharibu biasha yenu.Geofrey Mwamnyanyihttps://www.blogger.com/profile/05534982523861833839noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-29249687877196722962018-06-24T10:12:44.783+03:002018-06-24T10:12:44.783+03:00Kwenye ili kaka umechemsha eb jaribu...kuwa.makini...Kwenye ili kaka umechemsha eb jaribu...kuwa.makini wakati wa kucreate kichwa cha habari...kwa hali hii utafanya watu waache kusoma habari zako...nazani ili utalifanyia kazi...by the way hongera kwa kuteka tention za watu kwenye hii habari������Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-13878373212835018432018-06-24T09:41:39.924+03:002018-06-24T09:41:39.924+03:00Toka nilivyojua wewe ndio mhariri wa Chanpioni nil...Toka nilivyojua wewe ndio mhariri wa Chanpioni niliacha kununua hilo gazeti. Sasa hizi no habari gani!? Lini huyu mchezaji akawa wa yanga!? After all hata hayo mazungumzo ya Yanga na hao wachezaji ni wewe tu na gazeti lako la udaku mlioandika. Hayajawahi kuwepo zaidi ya nyie kutaka kuuza habari.Winchislaus Rweyongezahttps://www.blogger.com/profile/08363160734994732902noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-5252037276968308832018-06-24T08:51:34.855+03:002018-06-24T08:51:34.855+03:00Sasa Mo ni kiungo wa Yanga? Nimeacha rasmi kununua...Sasa Mo ni kiungo wa Yanga? Nimeacha rasmi kununua gazeti lenu. Tena na hivyo mmepandisha bei. Bye bye.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/13285679308464713182noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-17962341196746723282018-06-24T08:18:14.057+03:002018-06-24T08:18:14.057+03:00Habari zako zinakosa mvuto jipange kakaHabari zako zinakosa mvuto jipange kakaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-14953194787080396752018-06-23T20:14:15.109+03:002018-06-23T20:14:15.109+03:00Mimi huyu mwandishi namwona kama mwendawazimu.Mimi huyu mwandishi namwona kama mwendawazimu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-35267888536169344912018-06-23T19:20:33.538+03:002018-06-23T19:20:33.538+03:00Huu uandishi gani!!!mkiitwa waandishi makanjanja m...Huu uandishi gani!!!mkiitwa waandishi makanjanja mnatoa povu,eti kiungo Yanga asaini Simba!!!lini huyu mchezaji alikuwa Yanga hadi uandike habari yako na kuipa heading ya namna hiyo...ukosefu wa weledi wa taalumaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-60505213237429825682018-06-23T19:07:46.618+03:002018-06-23T19:07:46.618+03:00Kuna suala la kupigania maslahi kwa mchezaji ambal...Kuna suala la kupigania maslahi kwa mchezaji ambalo ni jambo muhimu lakini muhimu cha kuzingatia kwa vijana wetu wa kitanzania ni suala la kupigania viwango vyao kuwa bora zaidi. Maslahi bora na mikataba ya thamani huboreshwa na mchezaji mwenyewe na sio muajiri kwa uwezo wa mchezaji,bidii na nidhamu ya mchezaji uwanjani na hata kwenye mazoezi ni moja ya mambo yanayompandisha thamani mchezaji na wala sio kwa mchezaji kubweteka kwa kutegemea kuwa kuna timu nyengine zitakuja kumsajili.Anonymousnoreply@blogger.com