tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post2713600850270424712..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: KOCHA SIMBA AUKUBALI UWEZO WA MZAMBIA, ASEMA....Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-22760990394696351262017-12-11T15:44:55.474+03:002017-12-11T15:44:55.474+03:00TUNAJIDANGANYA::---
Kocha lazima ajue ni nani anay...TUNAJIDANGANYA::---
Kocha lazima ajue ni nani anayetakiwa kuachwa na si Uongozi. Uongozi unapitia mapendekezo ya benchi la ufundi. Mi naamini yupo mchezaji ambae ameshapendekezwa na benchi la ufundi katika dirisha dogo aachwe ili apatikane mwingine.

Siwezi amini kuwa Djuma hajui ni nani wa kumuacha kwa kuwa yeye ndio mtoa taarifa akimsaidia Omog. Hawa ndio mwisho wanasema Uongozi unatuingilia majukumu wakati yeye mwenyewe ndio anasema hajui ni nani wa kumuacha.

Kingine...tusisajili ili kuonekana mbele ya macho ya watu kuwa tunataka kusajili..ndio tutabaki palepale kuwa hatuwezi kupata mchezaji ambae yupo vizuri katika nchi zilizotutangulia hadi pale awe ameshamaliza kucheza mpira wa ushindani. Inavyosemekana..mchezaji huyu keshacheza TP Mazembe..sijui ya kipindi gani...kacheza pale Sudan..na sehemu zingine. Mwisho anakuja huku Tanzania. Je wewe unaona Bilioni ya Mo itafanya kazi inavyotakiwa kwa kuwachukua wachezaji "mechi moja anacheza na mechi ya pili majeruhi"??embu tumuonelee huruma muwekezaji wetu.

Tutafute vijana hata kama ni wawili lakini wenye Uwezo mkubwa.Kama hela ipo kwanini uchukue magari mabovu. Twende Afrika Kusini weka mezani pesa Chuku hawa watu pale Orlando Pirates...(Thabo Rakhale and Thabo Qalinge, Thempo Matete na Zongo). Tumia hela upate wachezaji hawa..naamini ukimchukia Thaboa Rakhale hata Niyonzima huwezi taka kumuona uwanjani VIJANA NA MUELEKEO WA MAENDELEOhttps://www.blogger.com/profile/07129314355811812213noreply@blogger.com