tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post2774786920268637187..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: MAVUGO SASA NDIYO GUMZO LA MIJADALA, KILA MTU ANA LAKESalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-11477284402426114032017-02-12T17:38:45.201+03:002017-02-12T17:38:45.201+03:00Safi mwendo huu huu hadi mwishoSafi mwendo huu huu hadi mwishoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-21792277586684747252017-02-12T15:52:15.979+03:002017-02-12T15:52:15.979+03:00Hongera simba kaza buti Hongera simba kaza buti muharamihttps://www.blogger.com/profile/13860533643997804998noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-16814346655559035332017-02-12T12:53:09.106+03:002017-02-12T12:53:09.106+03:00Cha msingi ni kuzudi kumuamini kila mchezaji kwan ...Cha msingi ni kuzudi kumuamini kila mchezaji kwan huwez ukafanya vzr kwa mara moja smtyms mpira unaitaji muda... Edgarhttps://www.blogger.com/profile/02990621825823188944noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-8737780876771600682017-02-12T11:52:36.965+03:002017-02-12T11:52:36.965+03:00Mnyama jana kupiga mpira mwingi sana na safu ya us...Mnyama jana kupiga mpira mwingi sana na safu ya ushambuliaji ambayo siku za nyuma tuliona imepotea jana ilikuwa tishio hasa muunganiko wa ajibu mavugo na liuzio ambao walionana vizuri na kuichachafya ngome ya prison..Hata walipoingia kina kichuya na pastory walionyesha soka safi la kupambana tofauti na siku za nyuma ambazo pastory alionekana kwa ulegevu na kuchezewa faulo nyingi ambazo hazikuwa na faida kwetu..ukimwangalia kichuya jana alifanya vitu kama vya mwanzo wa msimu ambapo aliweza kusogea Langoni na kugongesha besela kwa shuti Kali..kimsingi simba ikicheza hivi mechi zilizosalia ndoo yetu hiyo haina ubishi kwani kwa mpira wa jana hata yeboyebo wangekaa...Viva Simba sports clubElibarick Andrewhttps://www.blogger.com/profile/01970955916504988741noreply@blogger.com