tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post3187531567445123867..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: SIMBA, YANGA ZAKUTANA LAKINI ZASHINDWA KUSULUHISHA SUALA LA KESSY, MJUMBE CAF ATOA MWISHO ALHAMISI Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-8970148730798324122016-10-31T16:09:15.717+03:002016-10-31T16:09:15.717+03:00Yanga imepigwa kumbo kivipi wakati hakuna taarifa ...Yanga imepigwa kumbo kivipi wakati hakuna taarifa rasmi ya TFF?<br /><br />Umeanza tena mambo yako? Wakati wa sakata la Okwi nilifika mahali nikaamini kufuatia nakala zako kwamba Ismail Aden Rage alikula hela ya uhamisho wa mwisho.<br /><br />Mwishowe uliumbuka baada ya Simba kupokea malipo toka Ttoile du Sahel. Sasa umeanza kutengeneza uongo mwingine kuhusu sakata la Kessy. Utakua lini?Anonymousnoreply@blogger.com