tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post3410638432278555604..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA KUTOKA UBELGIJISalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-15349700376166708852018-07-20T06:17:04.717+03:002018-07-20T06:17:04.717+03:00Mhhh Mhhh Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/16459669890572334998noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-89013874302563851112018-07-19T22:20:24.438+03:002018-07-19T22:20:24.438+03:00Huyo Kocha hawamuanini, hiyo cv ni ndogo sana ndio...Huyo Kocha hawamuanini, hiyo cv ni ndogo sana ndio maana wanampa as a trial, 1 yr contract ili iwe rahisi kuvunja mkataba kama ni mbovu, that is a great thinkingAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/02707930308865240368noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-87535771094663387252018-07-19T22:03:38.622+03:002018-07-19T22:03:38.622+03:00Watanzania tuna matatizo hiyo sio siri na tatizo l...Watanzania tuna matatizo hiyo sio siri na tatizo letu kubwa kama tutalitafutia muarubaini basi tutatoka kama kumeza mate,tatizo lenyewe ni kwamba hatupo waaminifu na serious katika utumishi. Sasa kitu kinacho nipa hamasa kubwa kwa Timu ya Simba hivi sasa basi hakuna kama Simba kuwa chini ya usimamizi wa Mohamed Mo. Na hamasa zangu na matarajio ya kuamini yakuwa SIMBA chini ya usimamizi wa Mo itatisua hazipo yakwamba labda Mo ana uwezo wa pesa peke yaje hapana bali kubwa zaidi ni uwezo wa Mo kiakili na nizamu katika masuala ya management. Kama viongozi waliokuwepo sasa pale Simba wapo kweli kawa ajili ya kuiletea simba maendeleo ya kweli basi ni kumpa Mo ushirikiano mubashara na hayo yakifanyika basi SIMBA na wanasimba si walaumu hata kidogo wakikaa tayri mkao wa kula. .Mungu ndie mpangaji lakini tunatarajia makubwa kutoka kwa Simba na kwa uwezo wa Mungu yatakuwa, Amen.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-76695531140107911352018-07-19T21:23:49.696+03:002018-07-19T21:23:49.696+03:00Kumpa kocha mwaka mmoja si waliongea kwanza? Sasa ...Kumpa kocha mwaka mmoja si waliongea kwanza? Sasa wewe ulitaka wampe mkataba mrefu wakati wenyewe wamekubaliana? Nafikiri wana malengo makubwa zaidi.<br /><br />Protas-Iringa Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-34221142176403026352018-07-19T20:38:07.173+03:002018-07-19T20:38:07.173+03:00Simba hii inajitofautisha na klabu nyingine katika...Simba hii inajitofautisha na klabu nyingine katika ukanda huu wa mashariki na kati ya Afrika, mambo yanafanyika kwa weledi mkubwa, timu ina malengo na inatafuta njia la kufikia malengo hayo, na ndio maana wanaliimarisha benchi la ufundi, wachezaji wenye uwezo mkubwa wanasajiliwa, wanabadili muundo wa uendeshaji....halafu wanapeleka timu kwenye mashindano sio kubahatisha, na kutegemea miujiza ya Mungu, na visingizio ooh mara refa, ooh hoteli, ooh mara figisu figisu. Huu ni mfano wa kuigwa. Na pia wanawapasha wapenzi kila hatua, kwa uwazi Al Lechttps://www.blogger.com/profile/11374514172855677137noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-80945959290921915912018-07-19T18:45:51.711+03:002018-07-19T18:45:51.711+03:00We Yohana issue za SSC hazikuhusu tuachie wenye ti...We Yohana issue za SSC hazikuhusu tuachie wenye timu.pambaneni na halli zenu huko jangwaniAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/12000065582403180853noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-17794353275084583252018-07-19T16:13:53.100+03:002018-07-19T16:13:53.100+03:00PICHA LA KUTISHAPICHA LA KUTISHAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-2157713497962243632018-07-19T15:35:39.910+03:002018-07-19T15:35:39.910+03:00Hawa simba wanafanya mambo yao kwa uoga mno!hivi k...Hawa simba wanafanya mambo yao kwa uoga mno!hivi kweli kocha mwenye CV nzuri kama hiyo n wa kumpa mwaka (msimu)mmoja?au kwa vile wamezoea timua timua ya makochaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17962145479554589445noreply@blogger.com