tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post3461022283554456402..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: HAYA NDIYO YALIYOMKUTA MWANDISHI WA CHAMPIONI AKIWA ANGOLA KURIPOTI MECHI YA YANGA...Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-8942542687964871132016-05-20T11:36:43.094+03:002016-05-20T11:36:43.094+03:00kaka pole sana kwa masaibu yaliyokufika pamoja na ...kaka pole sana kwa masaibu yaliyokufika pamoja na timu nzima ya Yanga,hakika mpira si ujiranio mwema tena bali ni vita.najua kabisa CAF hawatafanya lolote kwa mataifa makubwa yenye pesa kwani ndio wanaowaingizia mamilioni kila mwaka,laiti ingekuwa ni TZ imefanya hivyo basi rungu lingetuangukia.Na ndio sababu timu zetu za Africa hazifanyi la maana katika makombe ya dunia kwani tunaenda huko kwa figisu x2 tuu.Anonymousnoreply@blogger.com