tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post4029789197263069073..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: MAMBO SI MAZURI SANA KWA SINGANO HUKO MOROCCO, KOCHA HAJAVUTIWA "KIIVYO"Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-58930752302927481132017-08-03T09:27:50.305+03:002017-08-03T09:27:50.305+03:00Kama mambo si mazuri kwake ni bora akarudi mapema ...Kama mambo si mazuri kwake ni bora akarudi mapema awahi dirisha la usajili wa ndani ili apate timu ya kucheza,tatizo la huyo dogo anapotezwa na washauri wake,anapenda sana kurumbana na waajili wake anapotaka kuhama timu.Anasahau kuwa nyumbani ni nyumbani na unaweza kurudi muda wowote pale unaposhindwa kufanikiwa kule ulipoenda kujaribi bahati yako.Aligombana na Simba,akawatusi Azam sasa nadhani aje ajaribu bahati yake Lipuli au Mji Njombe,vinginevyo benchi litamuhusuAnonymousnoreply@blogger.com