tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post4048179709980311218..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: MAVUGO AITAJA YANGA KUWA INAMUHITAJI, AFUNGUKA JUU YA HATIMA YAKE NA SIMBASalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-23940703080221860162018-06-13T17:18:14.559+03:002018-06-13T17:18:14.559+03:00Mavugo kaisha aende kokote tuu..kwa simba tunayoit...Mavugo kaisha aende kokote tuu..kwa simba tunayoitaka atakaa bench mwaka mzima na atatuingiza hasara..aende tuu hata Yanga..hatakuwa na effect.Elibarick Andrewhttps://www.blogger.com/profile/01970955916504988741noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-77567253178484578152018-06-13T14:48:40.828+03:002018-06-13T14:48:40.828+03:00Nani anakubali kumnunua wakati mkataba wake unaish...Nani anakubali kumnunua wakati mkataba wake unaisha? Tatizo lako umewazia tu kwa Yanga amekuambia timu kadhaa zinamuhitaji mojawapo Yanga.<br />Mbona samba mkisikia tu mchezaji Yanga inamtaka mnakuwa mnaogopa sana raha ya mpira timu zote zikamilike ili ushindani uwepo na ndio hapo tutapanda kisoka lkn mna mawazo ya uoga ili labda mshinde kila ,waka.<br />Angalia Azam wanavyosajili ndio ujue ushindani utakuwaje mwakani usiiwaze Yanga tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-80249206770140962812018-06-13T10:18:59.607+03:002018-06-13T10:18:59.607+03:00Mavugo ni Ibrahim Ajibu wa burundi kwa kumuangalia...Mavugo ni Ibrahim Ajibu wa burundi kwa kumuangalia hafla amekamilika hasa kwenye pysical structure yaani maumbile yao ya kimwili yanaonekana yapo kikazi zaidi lakini yanakosa akili yenye ubunifu ya jinsi gani ya kutumia uwezo wao wa mwili kuyatawala mazingira yao ya kazi. Kwa mwenye akili timamu na mwenye kujitambua huwezi kuachia sehemu yenye mazingira mazuri ya kazi kwa kutegemea sehemu isio na uhakika na uwezekano wa kulipwa hata mshahara wako wa mwezi. Kwa upande mwengine simba wanaweza kumtrade Mavugo na baadhi ya mchezaji mwenye uwezo zaidi nchini hasa beki kwa kutoa nyongeza ya ada kuliko kusubiri kuondoka bure kwani alishawagharimu vya kutosha wanahitaji kunufaika japo kidogo. Anonymousnoreply@blogger.com