tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post518372903207779059..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: EXCLUSIVE: MANJI ATANGAZA KUOMBA KUIKODISHA TIMU YA YANGA KWA ASILIMIA 75 WANACHAMA WAKUBALI, WAMPASalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-28937877988049252932016-08-08T13:46:28.662+03:002016-08-08T13:46:28.662+03:00Uwezo wa kufikiri unapotawaliwa na ushabiki. Hamna...Uwezo wa kufikiri unapotawaliwa na ushabiki. Hamna point zinazoweza kujenga. Intergent people talk because they have something to say but fools talk because they have to say something. No offence Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/11833012247949176575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-27968220778694178792016-08-07T12:20:11.067+03:002016-08-07T12:20:11.067+03:00Hauna jipya!Manji anataka kutumia chapa ya Yanga k...Hauna jipya!Manji anataka kutumia chapa ya Yanga kisha asilimia 25 ya faida inarudi klabuni, wewe unayejiona mjanja unabariki kuuza zaidi ya nusu ya asset za Simba kwa pesa itakayokwenda kwny treasury bonds...Mbumbumbu atabaki kuwa mbumbumbu miaka mia...Rage was right...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-49875543114877721442016-08-06T22:02:20.540+03:002016-08-06T22:02:20.540+03:00 Manji hana pesa ya kumiliki timu MANJI anajulikan... Manji hana pesa ya kumiliki timu MANJI anajulikana mwisho kigoma alafu amkejeli mtu anaye julikana Dunia nzima, mwenzake anaacha Ubunge yeye anagombea Udiwani, huwezi kushindana na aliyekuzidi, mwenzake anawekeza Yeye Hakodi anaiazima jiulize anaikodi Kwa kiasi gani Hasemi, ndio maana alijua akiwaambia Ajenda mapema wanayanga wafikiri marambili wangepinga ndio maana amewastukiza AJENDA ndani ya kikao, na wanayanga bila kuelewa wakakubali, manji klabu anaitaka bure pamoja na nembo yake, alafu faida achukue 75% na wanachama na club ni 25%, wakati MO anaweka 20 bilion faida yote inabaki kwenye club, Wanayanga jifikilieni kwanza alafu mtupe jibu MO na Manji nani anataka kuitumia club kujinufaisha?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/09633731159612428805noreply@blogger.com