tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post5369354438733764927..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: JERRY MURO APEWA SHULE KISA USAJILI WA MO BANKA YANGA Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-10488053099671254522018-07-12T10:03:22.151+03:002018-07-12T10:03:22.151+03:00Halafu atambue kimyakimya maana yake viongozi hawa...Halafu atambue kimyakimya maana yake viongozi hawatatamka WANAMTAKA NANI?

Utaona tayari kasajiliwa, maana wakitamka kabla ya kumsajili wengine wanawahi.

Lugha ya mpira ukilelewa kwenye mpira haikupi tabu.

Vinginevyo hakuna usajili kwa uelewa tofauti Wa kimyakimya .Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/06085055249013587051noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-18143293609613093442018-07-12T10:03:07.272+03:002018-07-12T10:03:07.272+03:00Halafu atambue kimyakimya maana yake viongozi hawa...Halafu atambue kimyakimya maana yake viongozi hawatatamka WANAMTAKA NANI?

Utaona tayari kasajiliwa, maana wakitamka kabla ya kumsajili wengine wanawahi.

Lugha ya mpira ukilelewa kwenye mpira haikupi tabu.

Vinginevyo hakuna usajili kwa uelewa tofauti Wa kimyakimya .Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/06085055249013587051noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-62017543489257184412018-07-12T01:02:03.598+03:002018-07-12T01:02:03.598+03:00Duuuh! Mpira kweli ni mgumu.
Duuuh! Mpira kweli ni mgumu.
Mang'onya Ng'onyahttps://www.blogger.com/profile/15139359839242128918noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-36512513482852223622018-07-11T21:42:05.368+03:002018-07-11T21:42:05.368+03:00Muro njaa tu ya hela za Manji ndo ilimfanya kuwa m...Muro njaa tu ya hela za Manji ndo ilimfanya kuwa msemaji ila kiukweli hajawahi kuwa shabiki, mpenzi wala mchezaji wa mpira. So simshangai kurukia gari kwa mbeleWinchislaus Rweyongezahttps://www.blogger.com/profile/08363160734994732902noreply@blogger.com