tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post5393150090883770674..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: MECHI 13 SASA, SIMBA WANATESA TU LAKINI VIFUA VYAO NI HASARA TUPUSalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-72511378932895014912016-11-04T17:22:38.965+03:002016-11-04T17:22:38.965+03:00Swala la kwamba mashabiki wa simba hawatakiwa kuwa...Swala la kwamba mashabiki wa simba hawatakiwa kuwaza ubigwa kwa sasa huo utakua ni uoga kila shabiki Bia yake nintikubyake kuchukua ubigwa mlianza kwa kusema tusubiliae kwanza mechi za mikoani mikoani wameenda wanashinda mnaleta visingizio vingine vya round ya pili.ngoja tuone..<br />Kuhusu swala la wadhamini tunatakiwa kujua kwamba simba ni timu kubwa kutangaza biashara za watu bila timu kupata masirahi ni bora timu ibaki na hasara kifuani kama ulivyosema.MF.tu ni ligi kuu ya uingeleza,walivyojitoa Barclay's na ligi kubaki bila udhamini haina maana kwamba ligi ya uingeleza aina maofisa masoka makini ama nini..mpira ni biashara sio kuchafua jezi kwa matangazo wali timu inabaki na madeni...asante.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/01655359065085786224noreply@blogger.com