tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post5562008283932166514..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: HOFU YA TIMU ZOTE ZA TANGA KUTEREMKA DARAJA NI DHAMBI ZA WANATANGA WENYEWE....Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-37682685474109067122016-05-10T08:34:17.089+03:002016-05-10T08:34:17.089+03:00hujaandika kitu hapa.ni kwanini unawabebesha na ku...hujaandika kitu hapa.ni kwanini unawabebesha na kuwafanya mashabiki ndio wanashusha timu.hujaingia ndani zaidi kutuelezea sababu za kiufundi kwanini timu hizo zinashuka,wewe unabaki na mashabiki ndio wameshusha timu,je hakuna sababu nyingine funguka.<br />Allenmakundihttps://www.blogger.com/profile/07499314065596884784noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-55787970365717328502016-05-09T14:07:49.379+03:002016-05-09T14:07:49.379+03:00Kinachoigharimu Coastal Union ni ujuaji hasa wanap...Kinachoigharimu Coastal Union ni ujuaji hasa wanapocheza katika uwanja wao. Mashabiki wao wanahitaji kuelewa kuwa vurugu zao zinaididimiza timu badala ya kuisaidia. <br />Mbona hatusikii vurugu kama hizo kwenye timu kama Majimaji ya Songea? Wameweka akili zaidi kwenye mpira na namna ya kujinusuru sio kufanya vurugu zisizo na maana yoyote.<br />Inawekezana mwamuzi hakuwa fair kwenye mechi yao na Yanga. Je hizo mechi zote nyingine ilikuwaje?Anonymousnoreply@blogger.com