tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post5994410851339554735..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: MALINZI HALI MBAYA, ASILIMIA KUBWA YA MASHABIKI WALIOTUMA MAONI WATAKA AJIUZULU TFFSalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-14444699332680387832016-04-08T18:15:10.766+03:002016-04-08T18:15:10.766+03:00Tusilete mzaha kwenye jambo la aibu kwenye soka le...Tusilete mzaha kwenye jambo la aibu kwenye soka letu kwa kumtetea Malinzi.Hoja iliyopo mezani ni sakata la rushwa katika soka la Tanzania yeyote aliyehusika anapaswa kuwajibishwa, ni suala la kuondoa wote waliohusika kuchafua taswira ya mchezo wa soka hapa nchini.FIFA wameweza kumuondoa Bltter inakuwaje Tanzania ishindwe?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-68924130175632645632016-04-08T09:26:31.919+03:002016-04-08T09:26:31.919+03:00Sasa unadhani kampeni zako za kumng'oa Malinzi...Sasa unadhani kampeni zako za kumng'oa Malinzi ili mfadhiri wako Ngumbaro apate nafuu kwa kufungiwa kwake itafanikiwa?Ama kweli nimeamini wewe ni mganga njaa na mpiga dili mkubwa kwa kutumia kalamu yako!EndeleaAnonymousnoreply@blogger.com