tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post6372785972518083063..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: TAMU YAPIGA MTU 16-0, TFF YASHTUKA, YATAKA CHAMA CHA MKOA KICHUNGUZESalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-9494600848331209562016-03-29T17:54:01.163+03:002016-03-29T17:54:01.163+03:00Anonymous goli 7'8'9 sio ishu sana tatizo ...Anonymous goli 7'8'9 sio ishu sana tatizo ni goli 16 kiakili hata we ukifikiri utaona kunaupangaji wa matokeo. Kama walikuwa na uwezo hebu tupe score zao zote toka mechi ya kwanza mpa hiyo ya mwisho uone kama wana ushindi wa zaidi.ya goli 4. Sio lazima kucomment sometime usoma tu na kupita na zako. Bakema1https://www.blogger.com/profile/05303240080190906297noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-26212938612500945462016-03-28T10:35:44.370+03:002016-03-28T10:35:44.370+03:00Goli 8-0 na 7-0 katika mchezo wa soka mbona ni mat...Goli 8-0 na 7-0 katika mchezo wa soka mbona ni matokeo ya kawaida?Mbona yanga ilifungwa 5-0 na Simba hamkufanya uchunguzi kama yanga ilihongwa?Kwa hiyo TFF haitaki timu yenye uwezo ishinde kwa magoli ya kutosha?Huo ni ujinga uliopitiliza,Stars ilipigwa 7 na Algeria,mbona TFF haikuiomba CAF/FIFA iichunguze Stars kama ilihongwa na Algeria?Au kwa kuwa TFF ndiyo inayoisimamia Stars,yenyewe ndiyo iliyohongwa na Algeria ndiyo maana haikulalamika?Anonymousnoreply@blogger.com