tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post696164460411001463..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: BREAKING NEWS: TFF YATANGAZA KUIPOKA SIMBA POINTI TATU, YAZIRUDISHA KWA KAGERA SUGARSalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-15925643861096593452017-04-23T21:51:05.796+03:002017-04-23T21:51:05.796+03:00Aaaaaah basi bwana bora Simba wajipange wachukue u...Aaaaaah basi bwana bora Simba wajipange wachukue ubingwa wa Uwanjani wa mezani ni mgumu sana. Grhttps://www.blogger.com/profile/11785393506175818459noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-78740448496455572972017-04-23T19:29:41.285+03:002017-04-23T19:29:41.285+03:00Soka la bongo kweli ni kizungumkuti, sasa ikiwa sa...Soka la bongo kweli ni kizungumkuti, sasa ikiwa sababu ni kama zilizovyorodheshwa kwamba malalamiko ya simba dhidi ya Kagera hayakuwasilishwa kwa wakati muwafak tangu mchezo ulipochezwa,malalamiko yao hayakuwa katika njia ya maandishi n.k

Ikiwa hizi ndio miongoni mwa sababu sasa kulikuwa na haja gani kuwasumbua watu kuja kutoa ushahidi kama mchezaji ana kadi tatu au hana?

Kulikuwa na haja gani ya kupoteza muda juu ya kutoa maamuzi takriban wiki mbili sasa watu wanasubir maamuzi

Hapa katika hili kuna figisu figisu za Usimba na Uyanga.Anonymousnoreply@blogger.com