tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post6998027997140728299..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: KASEKE SI MCHAGUA JEMBE, ASEMA AKIWA HAPA POA, KULE POA TUSalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-74532701749606013222017-01-08T13:47:42.605+03:002017-01-08T13:47:42.605+03:00Wachambuzi wa soka wanasema kwamba mchezaji mzuri ...Wachambuzi wa soka wanasema kwamba mchezaji mzuri unamjua pale anapokua HANA MPIRA na hili ukitaka ushahidi wake uliza wachezaji ambao wameenda kufanyiwa majaribio na kupewa mrejesho; wengi huenda kukamia na kufuata mpira kila uendako ili waonekane wanajituma lakini ukweli ni KWAMBA MPIRA HUCHEZWA KWA NAFASI NA MPIRA UNA NJIA ZAKE (ni wachezaji wachache sana wenye nidhamu katika hili hapa Bongo) ..........Moreover, Football is about team work na Kaseke ni mmoja wa wachezaji ambao kwa bahati mbaya sana hajaonekana katika hili, Kaseke ni moja ya nguzo kubwa sana Yanga anayecheza kwa nafasi na anayeshika haraka sana maelekezo ya Mwalimu, lakini kwa kuwa watanzania tunataka mpira wa anaoanao basi Kaseke huenda asikubalike sana kwa timu zetu hizi na tayari nimeanza kusikia taa nyekundu ya miguno toka kwa washabiki jambo linaloonekana kumtoa mchezoni.......KIFUPI NISEME TU HILI NDILO PAFU LA YANGA KWA SASA na nakubaliana na makocha wanaompa nafasi kwani huwa anatimiza majukumu yake barabara ambapo unahitaji jicho la kisoka kuyaona Geofrey Chambuahttps://www.blogger.com/profile/09709256452053768416noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-6930677256984147882017-01-08T13:41:21.986+03:002017-01-08T13:41:21.986+03:00This comment has been removed by the author.Geofrey Chambuahttps://www.blogger.com/profile/09709256452053768416noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-13892869642497074722017-01-08T13:36:26.332+03:002017-01-08T13:36:26.332+03:00This comment has been removed by the author.Geofrey Chambuahttps://www.blogger.com/profile/09709256452053768416noreply@blogger.com