tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post7490108795548469909..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: KUENDELEA KUJADILI USAHIHI NI UPI KATI YA MAYANJA NA BANDA NI UJINGA MWINGINESalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-55131359260863267552016-03-25T10:24:13.261+03:002016-03-25T10:24:13.261+03:00Kuna mkpno wa pembeni huwa tunapewa waandishi kuto...Kuna mkpno wa pembeni huwa tunapewa waandishi kutoka kwa baadhi ya walimu wa michezo(makocha) ili tuwapambe naamini hata wewe saleh badala ya kuwa jembe sasa unaanza kuwa shamba la kulimiwa na hao makocha.Hivi vijisenti visitufanye sisi waandishi tukadharau kazi yetu na kujiingiza katika utamaduni wa akupae ndiye aandikwae vizuri,tuwe makini.<br />Banda ni kijana wa kitanzania na ni lazima tumlinde kama walivyo waingereza wanavyowalinda akina Handerson japo mpira wenyewe wanabahatisha!Anonymousnoreply@blogger.com