tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post7528805529172498661..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: TFF IMEKUWA NI SAWA ADUI WA YANGA, INAFURAHIA IINGIE MATATIZONI, KILA KUKICHA NI UGOMVI, GII NI FAIDA YA NANI?Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-28189188442284668022016-08-13T14:03:01.015+03:002016-08-13T14:03:01.015+03:00OFA ZA YANGA NA SIMBA – NANI NANI KALA, NANI KALIW...OFA ZA YANGA NA SIMBA – NANI NANI KALA, NANI KALIWA?
1). KLABU YA SIMBA KUMUUZIA MOHAMMED DEWJI ASILIMIA 51 YA HISA ZOTE:
a). Simba inapaswa kujigeuza na kuwa Kampuni ya Umma ya Hisa
b). Thamani ya Hisa shilingi Bilioni 39
c). Kama Mohemmed Dewji akiwekeza shilingi Bilioni 20 sawa na asilimia 51
d). Wanachama waliobakia wataambulia shilingi Bilioni 19 sawa na asilimia 49.
e). Dhana ya Simba kuwa Klabu ya Wanachama itakuwa haipo
f). Kununua Hisa katika Klabu ya Simba itakuwa wazi kwa kila mtu
g). Vikao vyote vitafanyika kwa mujibu wa katiba ya Kampuni chini ya Bodi

SWALI GUMU LA KUJIULIZA (..?..)
Je Simba itakuwa na thamani isiyozidi shilingi Bilioni 39 – Jina la Klabu, Nembo, Timu, Viwanja, Majengo, Mamilioni ya Wapenzi na Mashabiki Tanzania na Afrika ya Mashariki yote (Fans-base) na Assets zake?

2). KLABU YA YANGA KUMKODISHIA YUSUF MANJI TIMU NA NEMBO KWA MIAKA 10:
a). Yanga inabakia kuwa Klabu ya Wanachama wenye mapenzi na Yanga
b). Yusuf Manji kuichukia Timu na Nembo kisha kuifanyia biashara faida zake:
- Gharama za uendeshaji wa Klabu zitakuwa ndogo au hazipo kabisa
- Klabu haitakuwa na matatizo ya aina yoyote juu ya uenseshaji wa timu
- Klabu itakuwa ikipata mgao wake wa 25% kutokana na faida itakayopatikana
c). Klabu na Wanachama watakuwa huru kuingia mikataba na wabia wengine watakaojotokeza kuwekeza kwenye kuazisha Televisheni ya Yanga, Kujenga Kiwanja cha mashindano, Kujenga hosteli, Kufungua biashara za faida kwa jina la Klabu, nk kama atakavyofanya Yusuf Manji anapotaka kuichukua / Kuikodisha Timu na Nembo tu.

SWALI LA KUJIULIZA (..?..)
Jina la Klabu, Nembo, Timu, Viwanja, Majengo ya Janwani na Mafia, Mamilioni ya Wapenzi na Mashabiki Tanzania na Afrika ya Mashariki yote (Fans-base) na Assets zake zina thamani gani?

MAONI YANGU: Klabu ya Yanga itakuwa kwenye mazingira bora na salama katika zoezi zima la kumpatia / kumkodishia Yusuf Manji – timu na nembo (si klabu nzima), alimradi pande zote mbili (yaani Yusuf Manji na Bodi ya Udhamini kwa pamoja) ziweke maslahi ya kusaidia Klabu ya Yanga na kuondoa dhana ya kujitajirisha mtu binafsi katika mkataba huo.

Hivyo wanachama wa vilabu hivi viwili ndiyo wenye kauli ya mwisho kuwapa au hapana.
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-46875303117288582662016-08-11T05:49:02.398+03:002016-08-11T05:49:02.398+03:00Saleh huwa naheshimu sana Blog yako kiasi ambacho ...Saleh huwa naheshimu sana Blog yako kiasi ambacho huwa silali bila kuifungua ili kupata Habari. Lakini katika Makala hii kwa kweli haijakaa sawa na umejaribu kupotosha Ukweli kwa maslahi ya Yanga ambayo hayataisaidia sana timu hio zaidi ya kuingamiza.Ni bora usimame kwenye kweli ili mhusika ajue haendi katika njia iliyonyooka kwa mfano Usajili wa TMC ambao sasa unaigharimu YangaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/11800915766941963675noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-82470915740095449172016-08-11T05:48:22.125+03:002016-08-11T05:48:22.125+03:00Saleh huwa naheshimu sana Blog yako kiasi ambacho ...Saleh huwa naheshimu sana Blog yako kiasi ambacho huwa silali bila kuifungua ili kupata Habari. Lakini katika Makala hii kwa kweli haijakaa sawa na umejaribu kupotosha Ukweli kwa maslahi ya Yanga ambayo hayataisaidia sana timu hio zaidi ya kuingamiza.Ni bora usimame kwenye kweli ili mhusika ajue haendi katika njia iliyonyooka kwa mfano Usajili wa TMC ambao sasa unaigharimu YangaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/11800915766941963675noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-49588720153227363222016-08-10T18:47:37.181+03:002016-08-10T18:47:37.181+03:00NDUGU mimi si shabiki wa yanga wala TFF lakini men...NDUGU mimi si shabiki wa yanga wala TFF lakini mengine tunawakosea TFF. MFANO, Yanga hawajapeleka majina TFF CHAKUWALAUMU TFF NI KIPI? Mbona yanga tu wakati wamesema hata COASTAL UNION hawajapeleka?

Yanga wameitwa kwenye semina elekezi hawajaenda, PIA kwenye TMS hawajaingiza majina sasa hao TFF hayo majina wayatoe wapi? je wapeleke waliyo nayo wanayoshiriki shirikisho? Je yanga wakisema hao tumewatema kwa msimu ujao tumesajiri wengine? pia system ilikuwa on had saa 6:00 usiku na wangeweza kuingiza muda wowote hadi saa 5:59 sasa TFF wakawatafute wapi watu amabao wanajuwa kila kitu ndio maana hawakwenda kwenye semina elekezi, Mimi nafuatilia sana michezo na TFF WAMETANGAZA SANA, SANA TENA SANA KWAMBA JAMANI SAFARI HII HATUTAONGEZA MUDA, WAMEVIKUMBUSHA VILABU KILA SIKU KWENYE VYOMBO VYA HABARI. Tuwalaumu kwa mengine wanapokosea ila siyo kuendekeza ujivuni wa watu wachache kuwabebesha lawama TFF. NINGESHAURI ANZA KWANZA NA YANGA WAULIZE KWANINI HAMKUINGIZA MAJINA KWENYE SYSTEM? WAULIZE TFF KWAMBA YANGA WAMESEMA WALIFANYA MOJA MBILI TATU KWANINI NYIE TFF HAMKUFANYA NA NYIE KWA SEHEMU YENU? UKIONA WANALEGA NDIPO UWALAUMU TFF KAMA UTARIDHIKA NA MAJIBU YA YANGAAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17246652699290703863noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-73558105026718211542016-08-10T18:05:21.303+03:002016-08-10T18:05:21.303+03:00Una hoja ila kuna mambo hujiweka sawa. Kwa mfano s...Una hoja ila kuna mambo hujiweka sawa. Kwa mfano suala la usajili hujaonyesha kwamba TFF haikuwasiliana na Yanga au la? Pili suala la mechi kuruka live na kupungua kwa mashabiki ni kweli ila lazima tutambue kwamba timu karne hii haiwezi kutegemea mapato ya mlangoni pekee.Timu ina mdhamini mmoja lazima iwe hasara kwao. Mwisho tukubali uweledi umepungua katika taasisi za michezo za Tanzania. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/01955074625103769610noreply@blogger.com