tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post7783692440894097386..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: AZAM FC NDIYO HIVYO TENA KAMA ULIVYOSIKIA, WAMETOLEWA KWA TATU BILASalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-27370922936726706302017-03-20T08:55:28.957+03:002017-03-20T08:55:28.957+03:00Azam ilistahili kabisa kutolewa ksani hadi goli la...Azam ilistahili kabisa kutolewa ksani hadi goli la Dar, lilikuwa la off side ya wazi kabisa na ilionekana wazi kuwa Azam isingeweza kuimudu Mbabane Swallows kwao. Azam bado kuna tatizo kubwa la kiufundi, kwani hata shule sio majengo mazuri, bali ni vifaa vya kufundishia na kujifunzia, walimu wazuri na watoto wenye nidhamu. Azam wana pesa lakini hawana vision. Wanakurupuka sana. Hakukuwa na sababu ya kumuacha kocha kama Stewart Hall au Omog waliyekaa naye msimu mmoja tu. Sasa wamesajili wachezaji kibao toka nchi moja na kuajiri kocha toka Romania! Walitumia vigezo gani? John Bocco ambaye wameng'ang'ana naye miaka mingi wangempima kwa ubora wake akiwa timu ya Taifa na sio kwa kuzifunga tu Simba na Yanga. John Bocco keshawahi kufunga hata goli moja timu ya taifa, licha kuitwa mara kibao kuichezea Taifa Stars? Kingine kinachoiponza Azam ni kusahau kuwa 'imezaliwa' kutoka Simba, maana kina Bakhressa, ndio hao hao walikuwa wafadhili wa Simba miaka ya nyuma. Hivyo Azam kujiona imekua, kiasi cha kusahau ilikotoka, ni kupotoka. Ingeutumia 'udugu' wake na Simba vizuri, ingeweza 'kuchomoza' kimataifa, maana ni Simba pekee nchi hii, ndiyo ambayo inashikilia rekodi ya kufanya vizuri kimataifa. Wengine ni 'washiriki' tu, na sio washindani.luddo17https://www.blogger.com/profile/10756226471947058146noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-34537970743299137342017-03-20T04:51:39.480+03:002017-03-20T04:51:39.480+03:00Mi naipongeza Yanga kwa kuitoa kwa taabu sana timu...Mi naipongeza Yanga kwa kuitoa kwa taabu sana timu ngumu ya Comoros, Ngaya. Yanga vidume bwaanaaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-62553835283441489592017-03-20T02:26:13.902+03:002017-03-20T02:26:13.902+03:00hongereni sana watanzania kwa uhodari wenu wa kuwa...hongereni sana watanzania kwa uhodari wenu wa kuwapongeza akina Bakhresa hata wanapoifunga timu dhaifu moja bila na kuikandya Yanga kila wakati na kuizomea inapocheza nyumbani. Anayepanda upepo huvuna dhoruba!<br />Anonymousnoreply@blogger.com