tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post8757076560373665335..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: SALEH ALLY ANAAMINI WACHEZAJI AZAM FC, HAWAWATENDEI HAKI WAAJIRI WAO.....Salehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-53440276149178315082016-05-04T17:55:11.295+03:002016-05-04T17:55:11.295+03:00AZAM NI TIMU YA KAWAIDA SANA, BAHATI MBAYA sIMBA I...AZAM NI TIMU YA KAWAIDA SANA, BAHATI MBAYA sIMBA INA MATATIZO YA UONGOZI LAKINI WANA TIMU NZURI ZAIDI YA OVERATTED AZAM FCmpululila@blogspot.comhttps://www.blogger.com/profile/04394943847281588853noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-27587311455751127462016-05-04T16:04:15.361+03:002016-05-04T16:04:15.361+03:00ni kweli kabisa mwandishi, nimeangalia mechi yao m...ni kweli kabisa mwandishi, nimeangalia mechi yao majuzi na simba, walikosa umakini kabisa, walikuwa wanakosa magoli ya wazi kabisa utafikiri hawana mazoezi ya kutosha, mchezaji kama singano alikuwa tishio sana na msumbufu kwa mabeki, lakini sasa hivi kiwango chake sio kizuri kabisa (ingawa bado anacheza vizuri)anakabika kabisa, juzi ilifikia kipindi walimfanyia subAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-51759063853024335402016-05-04T15:19:50.475+03:002016-05-04T15:19:50.475+03:00Azam wanasikitisha,ht ukiangalia kasi waloanzanayo...Azam wanasikitisha,ht ukiangalia kasi waloanzanayo inapungua kila siku, hawana spirit ya tim km vile wanacheza kujivua lawama.<br />Kwa upande wangu nadhan kocha wao kashindwa kuwajenga fikra za uzalendo ili wacheze kwa manufaa ya tim,mfano mzuri ni Yanga walifungwa na Waarabu na wachezaji wakalia inaonesha waliifia tim,angalia Yanga wanavyoongeza kasi ya kutafta ushindi km wakiwa wametangulia kufungwa,ni tofaut na Azam wenye kila kitu kinachotakiwa ktk mpira. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17271958674835796741noreply@blogger.com