tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post9082072717818633957..comments2023-12-31T11:28:41.093+03:00Comments on SALEH JEMBE: YANGA WAKATA RUFAA TFF, NI ILE ISHU YA MCHEZAJI MMOJA MBEYA CITY KUZIDISalehjembehttp://www.blogger.com/profile/05471687508055401147noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-3556634780148017412018-04-24T12:09:48.992+03:002018-04-24T12:09:48.992+03:00Vyovyote itakavyokuwa hakuna points za mezani. Mak...Vyovyote itakavyokuwa hakuna points za mezani. Makosa ya muamuzi hayawezi kuiathiri timu....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-56047395124817809132018-04-23T19:47:40.413+03:002018-04-23T19:47:40.413+03:00Soka la Tanzania pasua kichwani,yaani mshabiki ana...Soka la Tanzania pasua kichwani,yaani mshabiki anataka kujadili kitendo kama hicho kweli!!!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17662328977670983474noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-41250385233119265962018-04-23T12:43:39.279+03:002018-04-23T12:43:39.279+03:00hapa kinachotakiwa ni kithibitisho kama mbeya city...hapa kinachotakiwa ni kithibitisho kama mbeya city baada ya kutolewa mchezaji wao na kubaki kumi je ni kweli baadae wakacheza kumi na moja ???<br />video zipo na kila mtu kaona haina haja kubishana hapa !!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-9455097168992939372018-04-23T11:20:36.913+03:002018-04-23T11:20:36.913+03:00Dah!
Sasa Yanga wanaanza kupoteza muelekeo. Wanaan...Dah!<br />Sasa Yanga wanaanza kupoteza muelekeo. Wanaanza kulilia ushindi wa mezani Huyo mchezaji aliepewa kadi nyekundu kuonekana uwanjani anamahusiano gani na matokeo ya uwanjani? Kama wa kukata rufaa walikuwa Mbeya City kwa kuwa Yanga walibebwa na ile kadi nyekundu. Sasa Yanga wanamkatia nani rufaa Mbeya City au wanakata rufaa wasimamizi wa mchezo kwa kutomundosha huyo mchezaji uwanjani? Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-47106415228727665862018-04-23T10:11:44.789+03:002018-04-23T10:11:44.789+03:00Washaanza kutagaWashaanza kutagaMoudyhttps://www.blogger.com/profile/08648902036277542793noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5720843249720986699.post-57997838964075025252018-04-23T09:57:52.179+03:002018-04-23T09:57:52.179+03:00Hujatuambia kuhusu vijana wetu huko congo jana ili...Hujatuambia kuhusu vijana wetu huko congo jana ilikuaje?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/05469576735441245356noreply@blogger.com