Kocha mpya wa
Taifa Stars, Mart Nooij leo amekiongoza kikosi chake kutoka sare ya bao 0-0 dhidi ya Malawi katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya,
leo.
Nooij raia wa
Uholanzi alikipanga kikosi chake leo kikiongozwa nawachezaji wengi makinda na
kilishambulia zaidi lakini hakikuweza kupata bao.
0 COMMENTS:
Post a Comment