UWANJA wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa, Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amebainisha mpango kazi
UWANJA wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa, Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amebainisha mpango kazi
UONGOZI wa Klabu ya Singida Black Stars umebainisha kuwa utapambana kuwaondoa wapinzani wao Simba katika hatua ya nusu fainali ili kutinga...
WAPINZANI wa Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora kuelekea kwenye mchezo wao unaotarajiwa kuchezwa Aprili 21 2025 Uw...
IKIWA Simba watakuwa kwenye mwendo huu ndani ya msimu wa 2021/22 kengele ya hatari inawaka kwenye kichwa cha Kocha Mkuu, Didier Gomes kwa...
MATAJIRI wa Dar es Salaam, Klabu ya Azam FC imeweka wazi kuwa ipo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramid FC...
KIUNGO mkabaji mpya wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho,amewaambia mashabiki kuwa watarajie kuona soka safi la pasi linalochezwa katika baadh...
LAZIMA kichwa cha Didier Gomes kwa sasa kiwe kinapasuka kwa sababu mastaa wake wote nao ni pasua kichwa kutokana na mwendo wao ulivyo pamo...
BIASHARA united wanajiita Wanajeshi wa Mpakani wana kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Ahly Tripol ...
UWEZEKANO ni mkubwa kwa sasa timu zetu zikaboronga kwenye mashindano ya kimataifa ikiwa hazitajipanga vizuri kutokana na mambo kubadilika ...
IKIWA ni msimu mpya wa 2021/22 mambo ni mapya pia kwa mabingwa mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ambao nao pia wana basi jipya kwa aj...
MABOSI wa Azam FC wameamua kuwa karibu na mashabiki wao ambapo siku ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Pramids ya Misri wataweka bonge moja...
KOCHA Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema kuwa anamtambua vema mshambuliaji wake Kibu Denis hivyo ana uhakika kwamba atakuja kuwa mchezaji m...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amepanga kwamba, baada ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC utakaochezwa Oktoba 19, mwaka huu,...
MASTAA wa Biashara United leo Oktoba 13 walikuwa na kazi ya kufanya Uwanja wa Mkapa ikiwa ni maandalizi ya mechi yao ya kimataifa dhidi ya A...
IMEBAINISHWA kuwa, video za mechi za wapinzani wa Simba katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Jwaneng Galaxy, zitaamua aina ya kikosi a...
UWANJA wa Mkapa uliopo Temeke ni moja ya viwanja bora Afrika Mashariki na kati na ni sehemu pia ambayo wageni wengi hufika na kujionea burud...
WANAJESHI wa mpakani, Biashara United, leo Oktoba 13 wameendelea kuwavutia kasi wapinzani wao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho unaota...
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kipa wake Jeremia Kisubi bado anahitaji muda ili kuweza kufanya vizuri. Kisubi kwa sasa yupo ...
ACHANA na bonasi za kila mechi wanazozipata kutoka kwa wadhamini wao kampuni ya GSM imefichuka kuwa kitu kikubwa ambacho kinawapa motisha y...
SHIRIKISHO la Soka Afrika, (CAF) limeipiga rungu Yanga kutokana na kukiuka taratibu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Rivers United...