November 1, 2014


MPIRA UMEKWISHAAAA....Simba na Mtibwa hakuna iliyopoteza mchezo katika mechi zao sita lakini Simba imecheza mechi sita na zote imetoka sare.Dk 89, Barnabas anapiga shuti kuubwaaaa
Dk 76 anatoka Okwi anaingia Uhuru Selemani

Dk 75 Simba wanamtoa Maguri anaingia Amissi Tambwe
Dk 71 Okwi anapiga shuti kali la mpira wa adhabu lakini unatoka nje ya lango.

Dk 65, Barnabas anapiga shuti kali lakini linatoka nje

Dk 60 Mgosi anatoka nafasi yake inachukuliwa na Vicent Barnabas
GOOOOOOOO Dk 59 Mgosi anafunga bao baada ya beki Isihaka kuukosa mpira, halafu kipa Manyika akaukosa pia ukapita katikati ya miguu na kuwa bao.


Dk 57 Mtibwa wanalazimika kufanya kazi ya ziada kuokoaa
Dk 50, Maguri anapiga kichwa baada ya krosi ya Gallas lakini kinatoka nje kidogo..

Dk 46, Okwi anapiga krosi safi lakini Awadh Juma anashindwa kuufikia
Kipindi cha kwanza, Mtibwa walifanya madhambi mara 15, Simba mara 8

MAPUMZIKO
45+2 Manyika anaokoaaa penalti iliyopigwa na David Luhende....

Dk 45, Gallas anampiga kichwani Ame Ali na mwamuzi anasema penalti...
Dk 37, nafasi nzuri kwa Mtibwa baada ya krosi nzuri ya Mgosi lakini wanaipoteza.
GOOOOOOO Dk 35 nahodha Joseph Owino anaipatia Simba bao kwa mpira wa kichwa.


Dk 31 Kipa Said Mohammed wa Mtibwa Sugar anafanya kazi ya ziada kuokoa shuti la Okwi na kuwa kona isiyozaa matunda.
Dk 28 Simba wanapata faulo inapigwa na Okwi lakini inatoka kidogo nje.
Dk 26, Mgosi anamvaa kipa Manyika analazimika kutibiwa

DK 23, Ramadhani Singano anapiga shuti kali lakini linapaa juu


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic