December 10, 2014


 Bondia wa Uingereza, Amir Khan atavaa bukta ghali zaidi katika mchezo wa ngumi katika pambano lake la Jumamosi.

Khan anakipiga dhidi ya Devon Alexander katika pambano litakalochezwa kwenye jiji la Las Vegas, Marekani.

Bukta atayovaa ina vipande vya dhahabu kwa uzito wa karati 24, hivyo kuifanya uwe na thamani kuanzia pauni 20,000 hadi 30,000 (zaidi ya Sh milioni 81).

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic