VAN PERSIE, FALCAO WACHEZAJI NA NYAVU MAN UNITED IKISHINDA 3-1 Manchester United imeshinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Leicester City huku washambuliaji wake, Robin van Persie na Falcao kila mmoja akifunga. Bao moja Leicester wamejifunga lakini hii imeonyesha kuwa washambuliaji hao wakongwe bado ni msaada katika kikosi cha Louis van Gaal.
0 COMMENTS:
Post a Comment