Mashabiki wa soka wana mambo yao kama hii iliyotokea kwa mashabiki wa Hull City kumvalisha mbwa jezi ya timu yao wakiwa wanaelekea kupambana na Arsenal katika mchezo muhimu wa Ligi Kuu England.
Hata hivyo, hiyo haikuwasaidia kuepuka kipigo baada ya vijana wa Arsene Wenger kuwatandika kwa mabao 3-1.
0 COMMENTS:
Post a Comment