November 28, 2015


Man United imepata sare ya bao 1-1 ikiwa ugenini dhidi ya Leicester City na sasa imeendelea kubaki katika nafasi ya pili baada ya kufikisha pointi 28.


Leicester waliokuwa nyumbani wameshuka hadi nafasi ya tatu wakiwa na pointi 27 huku Man City ambayo imeshinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Southampton leo, imekaa kileleni ikiwa na pointi 29.


MAN UNITED XI:
De Gea, Darmian, McNair, Smalling, Blind, Carrick, Schweinsteiger, Mata, Young, Rooney, Martial
Leicester City XI:
Schmeichel; Simpson, Huth, Morgan (c), Fuchs; Mahrez, Kanté, Drinkwater, Albrighton; Okazaki, Vardy













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic