Nahodha John Terry amesema ataondoka Chelsea mwishoni mea msimu huu.
Terry amesema hataongeza mara baada ya mkataba wake kwisha mwishoni mea msimu.
Terry amesisitiza baada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea anataka kuendelea kucheza soma katika timu nyingine.
Hata hivyo, amesisitiza kwamba hana mpango wa kucheza Ligi Kuu England tena, ataangalie kwingine.
0 COMMENTS:
Post a Comment