February 20, 2016

NONGA WA KWANZA KUSHOTO, AKIW JUKWAANI HII LEO

Mshambuliaji Paul Nonga ambaye aliaminika ana nafasi kubwa ya kuwashangaza Simba kama angepata nafasi katika kikosi cha Yanga leo. Lakini yuko jukwaani.

Nonga ametua Uwanja wa Taifa akiwa na kikosi kizima cha Yanga, lakini yeye na wachezaji wengine wakaongozana kwenda jukwaani.

Pamoja na Nonga, mshambuliaji mwingine wa Yanga, Matheo Simon pia yuko jukwaani pia.

Kocha Hans van der Pluijm ameamua Nonga asiwe katika kikosi kinachoshuka uwanjani wala kile kitakachokaa benchi.


Nonga ambaye amejiunga na Yanga akitokea Mwadui FC, ameonekana kati ya wachezaji wasumbufu kila anapopata nafasi ya kuingia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic