February 20, 2016


KESSY AKIDHIBITI MPIRA MBELE YA MSUVA WA YANGA ANAYEANGUKA...

Yanga imeifunga Simba kwa mabao 2-0 ikiwa ni mara ya pili katika msimu mmoja wa Ligi Kuu Bara.

Katika mzunguko wa kwanza, Yanga iliifunga Simba kwa idadi hiyo ya mabao wauaji wakiwa ni Amissi Tambwe na Malimi Busungu.

Lakini leo, Doland Ngoma na Tambwe ndiyo walioimaliza Simba na kumaliza ubishi wa mechi hiyo ya watani. CHEKI PICHAZEEEEEEE.

TSHABALALA AKIMTOKA KASEKE WA YANGA...

BOSSOU NA KIIZA WAKIWANIA MPIRA....

AJIB AKIJARIBU KUMTOKA KAMUSOKO WA YANGA

BOSSOU WA YANGA AKIONDOSHA HATARI MBELE YA HAMISI KIIZA WA SIMBA....

KAZIMOTO AKIPAMBANA NA JUMA ABDUL....


YANGA...


SIMBA...

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic