July 5, 2017


Beki nyota wa Ureno, Pepe ametua nchini Uturuki na kujiunga na Besiktas.
Besiktas ni timu kubwa ya tatu nchini Uturuki baada ya Galatasaray na Fernebahce.
Klabu hiyo imemwaga pauni million 8.3 kumnasa kutoka Real Madrid.

Beki huyo alisafiri kwa ndege ya kukodi kutoka kwa Ureno hadi Istambul, Uturuk

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV