Hatimaye kiungo Riyad Mahrez amerejea mazoezini katika kikosi cha Leicester City.
Mahrez alikuwa katika mgogoro na klabu hiyo baada ya kukataa kumuachia kwenda Manchester City ambayo ilitoa ofa mara tatu na ya mwisho ikawa pauni milioni 60.
Leo amerejea mazoezi na kufanya kazi vizuri na alionekana ni mwenye furaha muda wote.
Hata hivyo, tayari kocha wa timu hiyo amesema hatamchezesha katika mechi dhidi ya Man City.
0 COMMENTS:
Post a Comment