TAZAMA PICHAZ NAMNA YANGA WALIVYOTUA HUKO BOTSWANA LEO
Picha zinazoonesha matukio baada ya Yanga kutua mjini Gaborone, Botswana, mchaba wa leo.
Kikosi hicho kitacheza dhidi ya Township Rollers FC, Jumamosi ya wiki hii, mchezo wa marudiano katika Ligi ya Mabingwa Afrika.











0 COMMENTS:
Post a Comment