September 26, 2018


Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, ametolea ufafanuzi suala la timu kutoenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi maalum dhidi ya Yanga.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameeleza kuwa Simba mpya lazima iendane kileo zaidi ili kupata hizo alama tatu.

Simba Mpya lazima iende kileo zaidi, hatuhami kambi kwenda Zanzibar wala Comorro., kufanya hvyo ni kuongeza joto unnecessary, mechi hii ina pointi tatu kama nyingine tofauti yake ni kucharurana tu.

"Kiufundi sijawahi kusikia Madrid akienda Dubai au Miami kujiandaa na El Classico na Barcelona. mechi ya mwisho tuliwafunga tukiwa hapa hapa. Na wakati huu tupo hapa hapa jijini" ameandika.

1 COMMENTS:

  1. kumbe sasa unajua kuwa ni mechi ya kawaida msingeomba kuahirisha mechi yenu ya leo na Baiashara United kwa sababu ni mechi za kawaida tu zote

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic