September 29, 2018


Kuelekea Mechi ya watani wa Jadi kati ya Timu za Simba na Yanga inayotarajiwa kucheza kesho tarehe 30/9/2018 joto la mchezo huo linazidi kupanda.

Nafasi ya Makocha katika kuamua matokeo ya mchezo huo inaelezwa kuwa ni kubwa.Simba wao wakiwa na  pengo la kocha wao msaidizi Masudi Juma inaelezwa kuwa linaweza likawagharimu kupoteza mchezo huo.

Akihojiwa na Global Tv Mchambuzi wa mpira wa miguu mwenye umri mdogo kuliko wote Afrika mashariki na kati Kenedy  Heri ameeleza kuwa ''Masudi Juma ni Kipenzi cha Mashabiki wa Simba na Wachezaji kutokuwepo kwake kwenye mchezo huo kunaweza kukaigharimu Simba katika mchazo Huo''.

6 COMMENTS:

  1. siku hizi kila mtu amekuwa mchambuzi masudi awepo asiwepo yanga watapata kipigo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mie na washangaa na uchambuzi utumbo.Masudi Djuma ni kocha wa kawaida sana

      Delete
  2. Tunamtaka hawepo ili tuwafunge vizuri

    ReplyDelete
  3. Hakuwepo Shinyanga kwa hiyo Simba haikuchezwa?

    ReplyDelete
  4. Ukiniambia bila ya Manula SIMBA itakuwa katika wakati mgumu hapo sawa. Katika mechi ya watani wanazungumziwa akina Okwi, Kagere sijui makambo lakini wamemsahau kabisa Aishi Manula, huyu ndie muamuzi wa mechi hii.

    ReplyDelete
  5. Mbona yupo tatizo mnapenda kuchochea vurugu kwenye vilabu. Djuma yupo hata kwenye mazoezi ya Simba ameonekana.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic