YANGA KUKWEA PIPA
Kikosi cha Yanga kinatarajia kukwe pipa Jumanne ya wiki ijayo tayari kwa safari ya kuelekea Shinyanga kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui FC.
yanga itashuka dimbani kucheza na Mwadui ikiwa mgeni na ukiwa ni mchezo wake wa kwanza msimu huu kucheza nje ya Dar es Salaam.
Kuelekea mechi hiyo, kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi ambapo imeelezwa tayari kimeshaanza safari ya kuelekea Ruangwa kukipiga na Namungo FC kwenye Uwanja wa Kassim Majaliwa.
Yanga ilipata mwaliko huo mapema baada ya Simba kucheza na Namungo FC ba kwenda suluhu tasa ya 0-0.








0 COMMENTS:
Post a Comment